انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · النمل
السورة ٢٧

النمل

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ١٤

وَجَحَدُوا۟ بِهَا وَٱسْتَيْقَنَتْهَآ أَنفُسُهُمْ ظُلْمًا وَعُلُوًّا ۚ فَٱنظُرْ كَيْفَ كَانَ عَـٰقِبَةُ ٱلْمُفْسِدِينَ ١٤

{14} "Na wakazikataa," yaani, walizikufuru Ishara za Mwenyezi Mungu, na wakazikataa "na hali ya kuwa nafsi zao zina yakini nazo." Yaani, kukataa kwao huko si kwamba umeegemea juu ya shaka, bali walizikataa pamoja na wao kuzijua kuwa kwao na yakini kwamba hizo ni sahihi "kwa dhuluma" kwa kumdhulumu Mola wao Mlezi na nafsi zao wenyewe, "na kujivuna" juu ya haki na juu ya waja, na juu ya kuwafuata Mitume. "Basi angalia ulikuwaje mwisho wa waharibifu!" Ulikuwa mwisho mabaya zaidi; kwamba Mwenyezi Mungu aliwaangamiza, akawazamisha baharini, akawafedhehesha, na kurithisha makazi yao watu wanyonge miongoni kwa waja wake.