الفرقان
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
وَهُوَ ٱلَّذِى جَعَلَ لَكُمُ ٱلَّيْلَ لِبَاسًا وَٱلنَّوْمَ سُبَاتًا وَجَعَلَ ٱلنَّهَارَ نُشُورًا ٤٧
{47} Yaani, katika rehema zake kwenu na upole wake ni kwamba aliwafanyia usiku kama vazi ambalo linawafunika ili mtulie ndani yake kwa kulala usingizi na harakati zenu ziweze kukatika. Na kama isingekuwa usiku, basi waja hawangetulia, na wangeendelea katika shughuli zao, na hilo lingewadhuru sana. Na kama giza pia lingeendelea, basi maisha yao na masilahi yao yangeharibika. Lakini iliufanya mchana kuwa ni wa kutawanyika ndani yake kwa ajili ya biashara zao, safari zao, na kazi zao, ili masilahi yao yasimame sawasawa.