الفرقان
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
أَرَءَيْتَ مَنِ ٱتَّخَذَ إِلَـٰهَهُۥ هَوَىٰهُ أَفَأَنتَ تَكُونُ عَلَيْهِ وَكِيلًا ٤٣
{43} Na je yuko yeyote juu ya yule aliyeyafanya matamanio yake kuwa ndiyo muabudiwa (mungu) wake. Akawa kwamba kila anachokitamani, anakifanya? Basi ndiyo sababu akasema, "Je, umemwona aliyeyafanya matamanio yake kuwa ndiyo mungu wake?" Je, hushangazwi na hali yake na kuona upotofu wake, ilhali yeye mwenyewe anajihukumia kwamba yuko katika daraja za juu. "Basi je, wewe utakuwa ni wakili wake?" Yaani, wewe siyo mdhibiti juu yake aliyepewa mamlaka ya kumdhibiti. Lakini wewe ni mwonyaji tu ambaye tayari umeshafanya wajibu wako, na hesabu yake iko kwa Mwenyezi Mungu.