المؤمنون
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
حَتَّىٰٓ إِذَا فَتَحْنَا عَلَيْهِم بَابًا ذَا عَذَابٍ شَدِيدٍ إِذَا هُمْ فِيهِ مُبْلِسُونَ ٧٧
{77} Lakini nyuma yao kuna adhabu isiyoweza kuzuilika, ambayo ni kauli yake: "Mpaka tulipowafungulia mlango wa adhabu kali," kama vifo vya siku ya Badr na nyinginezo. "Hapo ndipo wakawa wenye kukata tamaa," wamekata tamaa kutokana na kila heri, imeshawajia shari na sababu zake; basi wajihadhari kabla kushuka adhabu ya Mwenyezi Mungu kali, ambayo haiepukiki; kwa kuhalifu inapaswa adhabu. Na hakika Yeye Mola huenda anawaondolea wao; kama adhabu za kidunia ambazo kwamba huwatia adabu kwazo waje wake. Amesema Mwenyezi Mtukufu kuzihusu, "Ufisadi umedhihiri bara na baharini kwa iliyoyafanya mikono ya watu, ili Mwenyezi Mungu awaonjeshe baadhi ya waliyoyatenda. Huenda wakerejea kwa kutubu."