انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · الحج
السورة ٢٢

الحج

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٥٩

لَيُدْخِلَنَّهُم مُّدْخَلًا يَرْضَوْنَهُۥ ۗ وَإِنَّ ٱللَّهَ لَعَلِيمٌ حَلِيمٌ ٥٩

{59} Na kauli hii inatokana na kauli yake: "Ili awaingize katika mlango unaompendeza." Ima ni kwa kile anachokikomboa Mwenyezi Mungu kutokana na miji, hasa kuikomboa Makka tukufu; kwa hakika waislamu waliingia (Makka) hali ya kuridhika na furaha. Au kinachokusudiwa humo ni riziki ya Akhera, na kwamba jambo hilo ni kuingia Peponi. Kwa hiyo Aya inaunganisha maisha mawili; riziki ya dunia na riziki ya akhera. Neno hilo ni halali kwa yote hayo, na maana yake ni sahihi; wala hakuna pingamizi kwa mapenzi ya kila mtu. "Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi" wa mambo; ya nje yake na ya ndani yake, mwanzo wake na mwisho. "Mpole;" viumbe vinamuasi na vinamzuilia kwa madhambi makubwa, na wala haharakishi kuwaadhibu licha ya ukamilifu wa uweza wake, bali anaendeleza riziki yake kwa ajili yao, na anawakunjulia fadhila zake.