الأنبياء
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
وَلُوطًا ءَاتَيْنَـٰهُ حُكْمًا وَعِلْمًا وَنَجَّيْنَـٰهُ مِنَ ٱلْقَرْيَةِ ٱلَّتِى كَانَت تَّعْمَلُ ٱلْخَبَـٰٓئِثَ ۗ إِنَّهُمْ كَانُوا۟ قَوْمَ سَوْءٍ فَـٰسِقِينَ ٧٤
74. Hizo ni sifa njema zitokazo kwa Mwenyezi Mungu kwa Mtume wake, Lut, amani ziwe juu yake, kwa elimu yake ya Sheria na kutawala baina ya watu kwa njia ya haki na iliyo sawa. Na kwamba Mwenyezi Mungu alimtuma kwa watu wake akiwalingania kwenye ibada ya Mwenyezi Mungu na kuwakataza maovu waliyokuwa wakiyafanya, akabaki akiwalingania, lakini hawakumuitikia, basi Mwenyezi Mungu akayageuza makazi yao dhidi yao na kuwaadhibu kwa adhabu. Wa mwisho wao; kwa sababu "Hakika hao walikuwa watu wabaya, wachafu," wakamkadhibisha mwitaji na wakamtishia kumfukuza, na Mwenyezi Mungu akamuokoa Lut'i na ahali zake. Basi akamuamuru aende nao usiku ili atoke nje ya mji. Kwa hivyo walitoka na basi wakaokolewa kwa neema za Mwenyezi Mungu juu yao.