انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · يوسف
السورة ١٢

يوسف

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٨١

ٱرْجِعُوٓا۟ إِلَىٰٓ أَبِيكُمْ فَقُولُوا۟ يَـٰٓأَبَانَآ إِنَّ ٱبْنَكَ سَرَقَ وَمَا شَهِدْنَآ إِلَّا بِمَا عَلِمْنَا وَمَا كُنَّا لِلْغَيْبِ حَـٰفِظِينَ ٨١

{81} Kisha akawausia yale watakayomwambia baba yao, akasema: “Rudini kwa baba yenu, na mwambieni: Ee baba yetu! Hakika mwanao ameiba.” Yaani, akachukulia kwa sababu ya wizi wake na hatukufanikiwa kuja naye kwako pamoja na juhudi tulizoziweka katika hilo, na hali ni kwamba hatukushuhudia kitu tusichokijua, bali tulishuhudia tu yale tuliyoyajua. Kwa sababu tuliuona kopo likitolewa katika shehena yake. "Wala sisi hatukuwa wenye kuhifadhi mambo ya ghaibu;” yaani, lau tungekuwa tunaijua ghaibu, basi hatungewania mno na kufanya juhudi kuwa aende pamoja nasi, na hatungelipokupa ahadi zetu na maagano yetu, na hatukudhani jambo hili lingefikia namna lilivyofikia.