انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · الكوثر
السورة ١٠٨

الكوثر

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ١

إِنَّآ أَعْطَيْنَـٰكَ ٱلْكَوْثَرَ ١

{1} Mwenyezi Mungu Mtukufu anamwambia Mtume wake Muhammad - rehema na amani zimshukie - [akimkumbusha neema zake juu yake]: "Hakika tumekupa heri nyingi" ambazo miongoni mwake ni yale ambayo Mwenyezi Mungu atampa Nabii wake – rehema na amani ziwe juu yake – [Siku ya Kiyama] kutoka kwenye mto uitwao: Al-Kawthar, na kutoka katika hodhi yake ambalo urefu wake ni mwendo wa mwezi mmoja, na upana wake ni mwendo wa mwezi mmoja. Maji yake ni meupe kuliko maziwa na ni matamu kuliko asali. Vyombo vyake katika wingi wake na kung'aa kwake ni kama idadi ya nyota za mbinguni. Mwenye kunywa humo, hakuwa na kiu kamwe baada ya hapo.