Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 88 · Aya ya 7

Al-Ghaashiya 88:7

الغاشية

لَّا يُسْمِنُ وَلَا يُغْنِى مِن جُوعٍ

Maana

Hakinenepeshi wala hakiondoi njaa.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Hakinenepeshi wala hakiondoi njaa. [7]

[7] Hakileti nafuu yoyote katika mwili, wala hakiondoi njaa.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Hakimnenepeshi mwenye kukila, awapo amekonda, wala hakimuondolei njaa, awapo na njaa.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Ghaashiya

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net