Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 86 · Aya ya 14

At-Taariq 86:14

الطارق

وَمَا هُوَ بِٱلْهَزْلِ

Maana

Wala si mzaha.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Wala si mzaha. [14]

[14] Wala haina nuksani yoyote ya mchezo au maskhara.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Na wala si upuuzi. Haifai kiumbe kuapa kwa asiyekuwa Allah Mtukufu. Akifanya hivyo atakuwa amemshirikisha Allah Mtukufu.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

At-Taariq

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net