Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 83 · Aya ya 9

Al-Mutaffifin 83:9

المطففين

كِتَـٰبٌ مَّرْقُومٌ

Maana

Kitabu kilichoandikwa.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Kitabu kilicho andikwa. [9]

[9] Hicho ni Kitabu kilicho pigwa mistari baina ya maandishi yake.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Hakika hiyo itakuwa ni jela ya kudumu, na ni adhabu iliyo na uchungu. Penye jela hiyo ni pale walipoandikiwa kuwa watakwenda, Wameandikiwa na imepitishwa, Hapana kitakachozidishwa wala kupunguzwa.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Mutaffifin

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net