Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 83 · Aya ya 27

Al-Mutaffifin 83:27

المطففين

وَمِزَاجُهُۥ مِن تَسْنِيمٍ

Maana

Na mchanganyiko wake ni Tasniim.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Na mchanganyiko wake ni Tasniim, [27]

[27] Cha kuchanganyia kinywaji hicho ni maji ya Tasniim ya Peponi,

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Na kinywaji hiki, mchanganyo wake watokana na chemchemi iliyoko Peponi inayojulikana, kwa ubora wake, kwa jina la Tasnīm.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Mutaffifin

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net