Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 82 · Aya ya 10

Al-Infitaar 82:10

الإنفطار

وَإِنَّ عَلَيْكُمْ لَحَـٰفِظِينَ

Maana

Na hakika bila ya shaka wapo walinzi juu yenu.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Na hakika bila ya shaka wapo walinzi juu yenu, [10]

[10] Na hakika wapo juu yenu Malaika walinzi, ambao ni waheshimiwa kwetu,

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Na mjue kuwa mko na malaika wanawafuatilia katika kila jambo.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Infitaar

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net