Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 80 · Aya ya 2

Abasa 80:2

عبس

أَن جَآءَهُ ٱلْأَعْمَىٰ

Maana

Kwa sababu alimjia kipofu!

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Kwa sababu alimjia kipofu! [2]

[2] Kwa sababu kamjia kipofu anamuuliza khabari ya Dini yake.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Na akapa nyongo kwa sababu ya kwamba Abdallah bin Ummi Maktûm alimjilia akitaka aelekezwe. Na alikuwa Mtume, (rehema za Allah Mtukufu na amani zimshukie), ameshughulika kuwalingania miamba wa kikureishi katika Uislamu.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Abasa

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net