An-Naazi'aat 79:33
النازعاتمَتَـٰعًا لَّكُمْ وَلِأَنْعَـٰمِكُمْ
Kwa manufaa yenu na mifugo yenu.
Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com
Kwa nafuu yenu na mifugo yenu. [33]
[33] Kwa ajili ya manufaa yenu na wanyama wenu mnao wafuga!
Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com
Ameumba, Aliyetakasika na kila upungufu, neema zote hizi zikiwa ni manufaa kwenu na kwa wanyama wenu.(Hakika kurudisha kuumbwa kwenu, Siku ya Kiyama, ni rahisi kwa Allah Mtukufu kushinda kuumba hivyo vitu vingine. Na vyote hivyo, kwa Allah Mtukufu, ni rahisi na ni vyepesi).
Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com
Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net