Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 79 · Aya ya 13

An-Naazi'aat 79:13

النازعات

فَإِنَّمَا هِىَ زَجْرَةٌ وَٰحِدَةٌ

Maana

Kwa hakika hayo ni ukelele mmoja tu.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Kwa hakika hayo ni ukelele mmoja tu, [13]

[13] Msidhani kurejea huko ni kuzito. Kwani hayo ni ukelele mmoja tu,

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Hakika tukio hilo litakuwa kwa mpulizo mmoja tu.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

An-Naazi'aat

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net