Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 78 · Aya ya 5

An-Naba 78:5

النبإ

ثُمَّ كَلَّا سَيَعْلَمُونَ

Maana

Tena la! Karibu watakuja jua.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Tena la! Karibu watakuja jua. [5]

[5] Tena kuwazuia, watakuja jua itapo wateremkia adhabu.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Kisha litadhihiri kwao jambo hilo na utadhihiri ukweli wa yale aliyokuja nayo Mtume Muhammad, (rehema za Allah Mtukufu na amani zimshukie), kuhusu Qur’ani na kufufuliwa. Huu ni utisho na makemeo kwao.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

An-Naba

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net