Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 77 · Aya ya 20

Al-Mursalaat 77:20

المرسلات

أَلَمْ نَخْلُقكُّم مِّن مَّآءٍ مَّهِينٍ

Maana

Kwani hatukukuumbeni kwa maji ya kudharauliwa?

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Kwani hatukukuumbeni kwa maji ya kudharauliwa? [20]

[20] Kwani hatukukuumbeni kutokana na maji yaliyo dhalili, nayo ni manii,

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Je kwani sisi hatukuwaumba nyinyi, (enyi mkusanyiko wa makafiri), kutokana na maji dhaifu yaliyo Manyonge nayo ni tone la manii?

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Mursalaat

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net