Al-Mursalaat 77:14
المرسلاتوَمَآ أَدْرَىٰكَ مَا يَوْمُ ٱلْفَصْلِ
Na nini kitakachokujuulisha siku ya kupambanua ni nini?
Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com
Na nini kitakacho kujuulisha siku ya kupambanua ni nini? [14]
[14] Na nini cha kukujuvya ina nini hiyo siku ya kupambanua?
Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com
Na ni lipi lililokujulisha wewe, (ewe binadamu), kuwa ni siku ipi hiyo ya kutolewa uamuzi na ni zipi shida zake na vitisho vyake?
Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com
Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net