Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 75 · Aya ya 26

Al-Qiyaama 75:26

القيامة

كَلَّآ إِذَا بَلَغَتِ ٱلتَّرَاقِىَ

Maana

La, hasha! (Roho) itakapofikia kwenye mafupa ya koo.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

La, hasha! (Roho) itakapo fikia kwenye mafupa ya koo, [26]

[26] Mna nini na kuipenda dunia ambayo mnaifariki roho inapo fika katika mafupa ya kooni,

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Ni kweli! Pindi roho itakapofika sehemu za juu za kifua.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Qiyaama

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net