Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 74 · Aya ya 38

Al-Muddaththir 74:38

المدثر

كُلُّ نَفْسٍۭ بِمَا كَسَبَتْ رَهِينَةٌ

Maana

Kila nafsi imo rahanini kwa mabaya iliyoyachuma.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Kila nafsi imo rahanini kwa mabaya iliyo yachuma.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Kila nafsi imefungwa na kuwekwa rehani kwa ilichokitenda, miongoni mwa matendo mema au mabaya, Haifunguliwi mpaka itekeleze haki za lazima zilizo juu yake na ipatiwe malipo yanayostahili kupatiwa.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Muddaththir

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net