Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 74 · Aya ya 11

Al-Muddaththir 74:11

المدثر

ذَرْنِى وَمَنْ خَلَقْتُ وَحِيدًا

Maana

Niache peke yangu na niliyemuumba.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Niache peke yangu na niliye muumba;

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Niache mimi, (ewe Mtume), na huyu niliyemuumba ndani ya tumbo la mama yake akiwa peke yake, hana mali wala watoto.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Muddaththir

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net