Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 73 · Aya ya 5

Al-Muzzammil 73:5

المزمل

إِنَّا سَنُلْقِى عَلَيْكَ قَوْلًا ثَقِيلًا

Maana

Hakika Sisi tutakuteremshia kauli nzito.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

ka Hakika Sisi tutakuteremshia uli nzito. [5]

[5] Ewe Mtume! Hakika Sisi tutakuteremshia Qur'ani yenye kukusanya amri, na makatazo, na takalifu nzito nzito.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Hakika tutakuteremshia, (ewe Nabii), Qur’ani tukufu inayokusanya maamrisho na makatazo na hukumu za kisheria.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Muzzammil

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net