Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 70 · Aya ya 15

Al-Ma'aarij 70:15

المعارج

كَلَّآ ۖ إِنَّهَا لَظَىٰ

Maana

La, hasha! Kwa hakika huo ni Moto mkali kabisa,

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

La, hasha! Kwa hakika huo ni Moto mkali kabisa, [15]

[15] Ewe mkosefu! Wacha hayo unayo yatamani ya kutaka kujikomboa kwa fidia! Hakika huo moto, unawaka kweli!

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Mambo sivyo kama vile unavyotamani yawe, ewe kafiri, ya kujikomboa, huo ni moto wa jahanamu, moto wake unawaka na kuroroma.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Ma'aarij

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net