Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 69 · Aya ya 40

Al-Haaqqa 69:40

الحاقة

إِنَّهُۥ لَقَوْلُ رَسُولٍ كَرِيمٍ

Maana

Kwa hakika hii ni kauli iliyoletwa na Mjumbe mwenye heshima.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Kwa hakika hii ni kauli iliyo letwa na Mjumbe mwenye hishima. [40]

[40] Kwamba hakika Qur'ani bila ya shaka inatoka kwa Mwenyezi Mungu kwa ulimi wa Mjumbe mwenye cheo cha juu.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Hakika Qur’ani ni maneno ya Allah Mtukufu. Inasomwa na mjumbe mkubwa wa cheo na utukufu.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Haaqqa

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net