Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 56 · Aya ya 64

Al-Waaqia 56:64

الواقعة

ءَأَنتُمْ تَزْرَعُونَهُۥٓ أَمْ نَحْنُ ٱلزَّٰرِعُونَ

Maana

Je, ni nyinyi mnayoyaotesha au ni Sisi ndio wenye kuotesha?

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Je! Ni nyinyi mnayo yaotesha au ni Sisi ndio wenye kuotesha? [64]

[64] Ni nyinyi mnao ifanya imee au ni Sisi peke yetu ndio tunaifanya imee?

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Je ni nyinyi mnaoziotesha kutoka ardhini? Sisi ndio tunaozistawisha na kuziotesha ardhini.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Waaqia

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net