Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 56 · Aya ya 58

Al-Waaqia 56:58

الواقعة

أَفَرَءَيْتُم مَّا تُمْنُونَ

Maana

Je, mnaiona mbegu ya uzazi mnayoidondokesha?

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Je! Mnaiona mbegu ya uzazi mnayo idondokeza? [58]

[58] Hamuangalii manii mnayo itia katika tumbo la uzazi?

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Mnayaonaje maji ya manii mnayomwaga ndani ya vizazi vya wake zenu?

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Waaqia

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net