Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 56 · Aya ya 53

Al-Waaqia 56:53

الواقعة

فَمَالِـُٔونَ مِنْهَا ٱلْبُطُونَ

Maana

Na kwa mti huo mtajaza matumbo.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Na kwa mti huo mtajaza matumbo. [53]

[53] Na mtayajaza matumbo yenu kwa shida ya njaa.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Nao ni katika miti mibaya zaidi, na ni wenye kujaza matumbo yenu kwa sababu ya ukali wa njaa.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Waaqia

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net