Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 55 · Aya ya 20

Ar-Rahmaan 55:20

الرحمن

بَيْنَهُمَا بَرْزَخٌ لَّا يَبْغِيَانِ

Maana

Baina yake kipo kizuizi, zisiingiliane.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Baina yao kipo kizuizi, zisiingiliane.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Baina yake kuna kizuizi, kila moja haiingii sehemu ya nyingine na kuiondoa sifa yake, bali ya tamu yanabaki kuwa tamu na ya chumvi yanabaki kuwa chumvi pamoja na kukutana kwake.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Ar-Rahmaan

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net