Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 54 · Aya ya 55

Al-Qamar 54:55

القمر

فِى مَقْعَدِ صِدْقٍ عِندَ مَلِيكٍ مُّقْتَدِرٍۭ

Maana

Katika mahali pa kukalia pa haki kwa Mfalme Mwenye uweza.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Katika makalio ya haki kwa Mfalme Mwenye uweza. [55]

[55] Katika baraza ya Haki, hakuna porojo huko wala madhambi, kwa Mwenyewe Mfalme Mtukufu wa uweza

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Watakua kwenye vikao vya haki, visivyokuwa na maneno ya upuuzi wala ya kuwatia madhambini, mbele ya Allah Mtukufu, Aliye Mfalme Mkubwa, Muumba vitu vyote, Mwenye uwezo wa kila kitu, Aliyetukuka na kuwa juu.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Qamar

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net