Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 54 · Aya ya 33

Al-Qamar 54:33

القمر

كَذَّبَتْ قَوْمُ لُوطٍۭ بِٱلنُّذُرِ

Maana

Kaumu Lut'i nao waliwakadhibisha Waonyaji.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Kaumu Lut'i nao waliwakadhibisha Waonyaji. [33]

[33] Kaumu Lut'i nao walikadhibisha maonyo ya Mtume wao.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Walizikanusha watu wa Lûṭ aya za Allah Mtukufu walizoonywa nazo.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Qamar

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net