Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 53 · Aya ya 9

An-Najm 53:9

النجم

فَكَانَ قَابَ قَوْسَيْنِ أَوْ أَدْنَىٰ

Maana

Akawa ni kama baina ya mipinde miwili, au karibu zaidi.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Akawa ni kama baina ya mipinde miwili, au karibu zaidi. [9]

[9] hata akawa ukaribu wake ni kiasi ya mipinde miwili, bali karibu kuliko hivyo.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Na akazidi kukaribia mpaka ikawa kukaribia kwake ni kiasi cha ncha mbili au karibu zaidi.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

An-Najm

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net