Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 53 · Aya ya 7

An-Najm 53:7

النجم

وَهُوَ بِٱلْأُفُقِ ٱلْأَعْلَىٰ

Maana

Naye yuko juu kabisa upeo wa macho.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Naye yuko juu kabisa upeo wa macho. [7]

[7] Naye yuko upande wa juu katika mbingu upeo wa macho wa mwenye kuangalia.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Na akalingana kwa umbo lake la kihakika, kwenye pembe za sehemu za juu, nazo ni pembe za jua linapochomoza.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

An-Najm

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net