An-Najm 53:21
النجمأَلَكُمُ ٱلذَّكَرُ وَلَهُ ٱلْأُنثَىٰ
Je, nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake?
Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com
Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake? [21]
[21] Mkagawa, nyinyi muwe na watoto wa kiume, na mkamfanyia Mwenyezi Mungu awe na watoto wa kike!
Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com
Je huyu mwanaume mnamfanya ni wenu kwa kuwa mnaridhika naye? na mwanamke ambaye hamridhiki naye nyinyi wenyewe mnamfanya ni wa Allah Mtukufu?
Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com
Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net