Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 53 · Aya ya 14

An-Najm 53:14

النجم

عِندَ سِدْرَةِ ٱلْمُنتَهَىٰ

Maana

Penye Mkunazi wa mwisho.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Penye Mkunazi wa mwisho. [14]

[14] Katika pahala pasipo juulikana ila na Mwenyezi Mungu tu, ambapo amepaita Sidratul muntahaa, "Mkunazi wa Mwisho".

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Mara nyingine hapo kwenye Sidrah al-Muntahā, mti wa mkunazi ulio kwenye uwingu wa saba, ambapo hapo kinaishia kinachopanda juu kutoka ardhini, na kinaishia kinachoshuka chini kutoka juu.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

An-Najm

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net