Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 51 · Aya ya 50

Adh-Dhaariyat 51:50

الذاريات

فَفِرُّوٓا۟ إِلَى ٱللَّهِ ۖ إِنِّى لَكُم مِّنْهُ نَذِيرٌ مُّبِينٌ

Maana

Basi kimbilieni kwa Mwenyezi Mungu, hakika mimi ni mwonyaji kwenu wa kubainisha nitokae kwake.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Basi kimbilieni kwa Mwenyezi Mungu, hakika mimi ni mwonyaji kwenu wa kubainisha nitokae kwake. [50]

[50] Basi fanyeni haraka kuendea kwenye ut'iifu wa Mwenyezi Mungu.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Basi kimbieni, (enyi watu), kutoka kwenye mateso ya Allah Mtukufu na muelekee kwenye rehema zake kwa kumuamini Yeye na Mtume Wake, (kufuata amri Yake na kufanya mambo ya utiifu Kwake). Hakika mimi, kwenu nyinyi, ni muonyaji ambaye maonyo yake yako wazi. Na Mtume, (rehema za Allah Mtukufu na amani zimshukie), alikuwa anapozongwa na mambo hukimbilia Swala, na huku ndiko kumkimbilia Allah Mtukufu.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Adh-Dhaariyat

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net