Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 51 · Aya ya 31

Adh-Dhaariyat 51:31

الذاريات

قَالَ فَمَا خَطْبُكُمْ أَيُّهَا ٱلْمُرْسَلُونَ

Maana

Akasema: 'Basi ujumbe wenu ni nini, enyi mliotumwa?'

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

AKASEMA: Basi ujumbe wenu ni nini, enyi mlio tumwa? [31]

[31] Ibrahim akasema: Mna kazi gani tena baada ya khabari hii nzuri, enyi wajumbe?

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Akasema (Ibrãhîm, amani imshukie), kuwaambia Malaika wa Allah Mtukufu «Mna jambo gani na mmetumwa na ujumbe gani?»

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Adh-Dhaariyat

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net