Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 40 · Aya ya 23

Al-Ghaafir 40:23

غافر

وَلَقَدْ أَرْسَلْنَا مُوسَىٰ بِـَٔايَـٰتِنَا وَسُلْطَـٰنٍ مُّبِينٍ

Maana

Na kwa yakini tulimtuma Musa pamoja na Ishara zetu na uthibitisho ulio wazi.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Na kwa yakini tulimtuma Musa pamoja na Ishara zetu na uthibitisho ulio wazi,

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Hakika tulimpelekea Mûsã alama zetu kubwa zenye kutolea ushahidi uhakika wa utume aliopewa, na hoja za wazi juu ya ukweli wake katika ulinganizi wake, na kutenguka yale ambayo walikuwa nayo wale waliopelekewa hao Mitume.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Ghaafir

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net