Saad 38:48
صوَٱذْكُرْ إِسْمَـٰعِيلَ وَٱلْيَسَعَ وَذَا ٱلْكِفْلِ ۖ وَكُلٌّ مِّنَ ٱلْأَخْيَارِ
Na mtaje Ismail na Alyasaa na Dhulkifli, na wote hao ni katika walio bora.
Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com
Na mkumbuke Ismail na Alyasaa na Dhulkifli, na wote hao ni katika walio bora. [48]
[48] Na mkumbuke Ismail, na Alyasaa, na Dhalkifli - na wote hao ni miongoni mwa walio bora.
Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com
Wakumbuke ewe Mtume waja wetu: Ismã‘îl, Ilyasa‛ na Dhulkifl kwa kumbu kumbu mzuri sana. Na kila mmoja miongoni mwao ni katika watu wema ambao Allah Mtukufu Aliwachagua miongoni mwa viumbe, na Akawachagulia hali na sifa kamilifu kabisa.
Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com
Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net