Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 35 · Aya ya 23

Faatir 35:23

فاطر

إِنْ أَنتَ إِلَّا نَذِيرٌ

Maana

Hukuwa wewe isipokuwa ni mwonyaji.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Hukuwa wewe ila ni mwonyaji. [23]

[23] Wewe huna jukumu ila la kufikisha Ujumbe na kuonya tu.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Wewe hukuwa isipokuwa ni mwenye kuwaonya na ghadhabu za Allah Mtukufu na mateso Yake.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Faatir

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net