Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 26 · Aya ya 163

Ash-Shu'araa 26:163

الشعراء

فَٱتَّقُوا۟ ٱللَّهَ وَأَطِيعُونِ

Maana

Basi mcheni Mwenyezi Mungu na nitiini mimi.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Basi mcheni Mwenyezi Mungu na nit'iini mimi. [163]

[163] Basi tahadharini na adhabu ya Mwenyezi Mungu, na ifuateni amri yangu kwa ninayo kuitieni.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Basi jihadharini na mateso ya Allah Mtukufu kwa kumkanusha kwenu mjumbe Wake, na nifuateni mimi katika yale ninayowalingania.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Ash-Shu'araa

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net