Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 26 · Aya ya 146

Ash-Shu'araa 26:146

الشعراء

أَتُتْرَكُونَ فِى مَا هَـٰهُنَآ ءَامِنِينَ

Maana

Je, mtaachwa salama salimini katika haya yaliyopo hapa?

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Je! Mtaachwa salama usalimina katika haya yaliyopo hapa? [146]

[146] Lilio wazuia ni kule kuamini kwao kwamba ati wataselelea katika zile starehe, watasalimika na adhabu, na kutoweka, na mauti,

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Je, Awaache Mola wenu katika starehe mlizonazo, hali ya kuwa mmetulia katika dunia hii mkiwa mmesalimika na adhabu, na kuondoka, na kufa?

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Ash-Shu'araa

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net