Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 21 · Aya ya 20

Al-Anbiyaa 21:20

الأنبياء

يُسَبِّحُونَ ٱلَّيْلَ وَٱلنَّهَارَ لَا يَفْتُرُونَ

Maana

Wanamtakasa usiku na mchana, wala hawanyong'onyei.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Wanamtakasa usiku na mchana, wala hawanyong'onyei. [20]

[20] Wanamtakasa aliye tukuka shani yake na kila lisio muelekea. Kumtakasa huku hakusiti, bali huo ni mtakaso wa daima, hawana shughuli nyengine ya kuwashughulisha.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Wao (hao Malaika) wanamtaja Allah Mtukufu na wanamtakasa daima, hawadhoofiki wala hawachoki.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Anbiyaa

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net