Taa-Haa 20:41
طهوَٱصْطَنَعْتُكَ لِنَفْسِى
Na nimekuteua kwa ajili ya nafsi yangu.
Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com
Na nimekuteuwa kwa ajili ya nafsi yangu.
Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com
Nimekupa neema hizi, ewe Mûsã, zikiwa ni chaguo langu kwako, na uteuzi ili ubebe utume wangu, na ufikishe ujumbe wangu, na usimame kutekeleza maamrisho yangu na makatazo yangu.
Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com
Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net