Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 19 · Aya ya 52

Maryam 19:52

مريم

وَنَـٰدَيْنَـٰهُ مِن جَانِبِ ٱلطُّورِ ٱلْأَيْمَنِ وَقَرَّبْنَـٰهُ نَجِيًّا

Maana

Na tulimwitia upande wa kulia wa mlima na tukamsogeza kunong'ona naye.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Na tulimwita upande wa kulia wa mlima na tukamsogeza kunong'ona naye.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Na tulimuita upande wa jabali la Ṭûr Sînã’ kuliani kwake (Mûsã), na tukamleta karibu na tukamtukuza kwa kusema na yeye. Katika aya hii pana kuthibitisha sifa ya kusema kwa Allah Mtukufu, Aliyetukuka, kama inavyonasibiana na utukufu Wake na ukamilifu Wake.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Maryam

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net