Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 15 · Aya ya 37

Al-Hijr 15:37

الحجر

قَالَ فَإِنَّكَ مِنَ ٱلْمُنظَرِينَ

Maana

(Mwenyezi Mungu) akasema: Hakika wewe ni katika waliopewa muhula.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

(Mwenyezi Mungu) akasema: Hakika wewe ni katika walio pewa muhula [37]

[37] Mwenyezi Mungu Mtukufu akasema: Wewe utabakishwa, umepewa muhula,

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Allah Mtukufu Akamwambia, Wewe ni miongoni mwa wale niliowapa muda na kuchelewesha kuwaangamiza mpaka siku ambayo viumbe wote watakufa baada ya Mpulizo wa kwanza.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Hijr

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net