Ruka hadi kwenye maudhui
Tafsir As-Saadi - Swahili · Al-Burooj
Sura ya 85

Al-Burooj

Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.

Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22

Aya ya 16

فَعَّالٌ لِّمَا يُرِيدُ 16

{16} "Atendaye ayatakayo" Kwani akitaka kitu, Yeye husema tu: Kuwa, na kinakuwa, na hakuna awezaye kufanya mno anachotaka isipokuwa Mwenyezi Mungu tu. Kwa maana, kama viumbe watataka kitu, basi lazima utashi wao huo uwe chini ya na wasaidizi au vizuizi, lakini Mwenyezi Mungu hana wasaidizi au vizuizi kwa utashi wake kwa kile anachotaka.