An-Naazi'aat
Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.
Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22
إِنَّمَآ أَنتَ مُنذِرُ مَن يَخْشَىٰهَا 45 كَأَنَّهُمْ يَوْمَ يَرَوْنَهَا لَمْ يَلْبَثُوٓا۟ إِلَّا عَشِيَّةً أَوْ ضُحَىٰهَا 46
{45 - 46} "Kwa hakika wewe ni mwonyaji tu kwa mwenye kuihofu." Yaani: Kuonya kwako kutawanufaisha wale tu wanaoogopa kuja kwa Saa (ya Kiyama) na wanaogopa kusimama mbele ya Mwenyezi Mungu. Hao ndio hawajishungulishi isipokuwa kujitayarisha kwa ajili yake na kuifanyia kazi. Ama wale wasioiamini, hao asiwajali wala usugu wao. Kwa maana ni usugu unaotokana na kukadhibisha na ukaidi. Na ikifikia hali hii, basi kumjibu ni bure tu, ambako ametakasika mbali nako mbora zaidi wa wanaohukumu.
Imekamilika, na sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu wote.