Ruka hadi kwenye maudhui
Tafsir As-Saadi - Swahili · Al-Jinn
Sura ya 72

Al-Jinn

Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.

Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22

Aya ya 13

وَأَنَّا لَمَّا سَمِعْنَا ٱلْهُدَىٰٓ ءَامَنَّا بِهِۦ ۖ فَمَن يُؤْمِنۢ بِرَبِّهِۦ فَلَا يَخَافُ بَخْسًا وَلَا رَهَقًا 13

{13} "Nasi tulipousikia uwongofu" nayo ni Qur-ani Tukufu inayoongoza kwenye njia iliyonyooka, na tukautambua uwongofu wake na kuelekeza kwake, ikaathiri nyoyo zetu, basi tukaiamini. Kisha wakataja yanayomtamanisha Muumini, wakasema: "Basi mwenye kumuamini Mola wake Mlezi basi haogopi kupunjwa wala kudhulumiwa." Na ikiwa atasalimika kutokana na uovu, basi atapata heri. Kwa hivyo, imani ni sababu inayoitia [kwenye kupata] kila wema na kutokuwepo kwa uovu wote.