Al-Haaqqa
Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.
Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22
وَإِنَّهُۥ لَتَذْكِرَةٌ لِّلْمُتَّقِينَ 48
{48} "Na kwa hakika hii," yaani: Qur-ani Tukufu, "ni mawaidha kwa wacha Mungu" kwayo wanakumbuka masilahi ya dini yao na dunia yao, kwa hivyo wanayajua na kuyafanyia kazi. Inawakumbusha itikadi ya dini, maadili yanayoridhiwa, na hukumu za kisheria, kwa hivyo wanakuwa miongoni mwa wanachuoni wanaofanyia matendo Mola wao Mlezi, waja wanaojua na maimamu walioongoka.